Friday

MWALIMU DARASANI

Mwalimu Chinyuka akiwasilisha mada darasani.
ITS ALL IN THE STATE OFTHE MIND

If you think that youre beaten,you are
If you think you dare not,you dont
If you think youd like to win,but think you cant
Its is almost certain you wont

If you think youll lose ,youve lost
For out in the world youll find
Success begins with a fellows will
Its all in the state of the mind

If yiu think you are outclassed,youre
Youve got to think high to rise.
Yiuve got to be sure of yourself before
You can ever win a price

Think big and your deeds will grow
Think small,and you will fall behind
Think that you can,and you will
Its all in the state of mind.

Lifes battles dont always go
To the stronger or faster man,
But soon or late the man who wins
Is the fellow who thinks he can


  1. Natowa kitandawili / mwenye jawabu kutowa
    Wako watu sura mbili / majaraha yasopowa
    Kuchupa kwao kuwili / nyoyo zao zaunguwa
    Watakayo ni muhali / milele hayatokuwa.
  2. Akili zao ni ghali / kutu zinawasumbuwa
    Wapigana na makali / mwenye fani hupekuwa
    Warejea ya awali / hawavuki zao puwa
    Wala hawana muhali / wamegeuka viluwa.
  3. Wanapeta pili pili / ungó wao chandaruwa
    Upungufu wa akili / ukweli kuutambuwa
    Wasemavyo waawali / wengine wajisumbuwa
    Hatari yawakabili / kuviwasha vilopowa.
  4. Mkahawa sihoteli / kushindana kutambuwa
    Dibeti zisoukweli / mtuno wakitumbuwa
    Kisu kutiwa makali / mwerevu anang´amuwa
    Ukweli muukubali / mwiko mwenziwe upawa.
huyu upendo ninani ebu nifahamisheni
yupo kila maskani asumbua insani
namkuta utotoni mchanga akitamani
upenda nikitu gani
mtoto aachi ziwa anapenda kulikoni
pilipili atiliwa lakini hiyoni ndani
alia kama mkiwa uruma muoneeni
upendo nikitu gani
upendo hana kimoja popote yu mn'gang'ani
anaposhikwa na haja moja kwake ithneni
atampenda dajaja aliyekufa njiani
upendo nikitu gani
unapopenda hakika hata haki huioni
weza ishi kwenye chaka au hata mapangoni
utakula hata taka wala kinyaa huoni
upendo ni kitu gani
muangalie kingwendu aipenda yake fani
afanya kila utundu apandapo jukwaani
aweza vaa chachandu mbele ya mkwe jamani
upendo nikitu gani

huyu upendo ninani ebu nifahamisheni
yupo kila maskani asumbua insani
namkuta utotoni mchanga akitamani
upenda nikitu gani
mtoto aachi ziwa anapenda kulikoni
pilipili atiliwa lakini hiyoni ndani
alia kama mkiwa uruma muoneeni
upendo nikitu gani
upendo hana kimoja popote yu mn'gang'ani
anaposhikwa na haja moja kwake ithneni
atampenda dajaja aliyekufa njiani
upendo nikitu gani
unapopenda hakika hata haki huioni
weza ishi kwenye chaka au hata mapangoni
utakula hata taka wala kinyaa huoni
upendo ni kitu gani
muangalie kingwendu aipenda yake fani
afanya kila utundu apandapo jukwaani
aweza vaa chachandu mbele ya mkwe jamani
upendo nikitu gani

Waniuza kuutunga, utungo tuutungeje
Tukae tuwe malenga, Shairi tulipangeje
Tupande sote mpunga, Pekeyo vuno liweje