Sunday
SIKU NJEMA YA WAPENDANAO
Nawatakia siku njema ya wapendanao kwa wote wenye mapenzi ya dhati kwa wenza wao na wale wenye upendo wa thati kwa familia,ndugu na marafiki zao
Subscribe to:
Posts (Atom)
TUIPENDE NA KUIENZI LUGHA YETU Kiswahili ni Lugha yetu adhimu watanzania ni lazima tuipende na kuienzi kwa kuitumia katika shughuli zetu za kila siku pasi na shaka yoyote kwani ni lugha yetu ya taifa na pia ni lugha rasmi. Onesha utaifa na uzalendo kwa kutumia kiswahili.