Umewai kumuona farasi wa namna hii. Usishangae wapo wengi sana katika bara la ASIA.


TUIPENDE NA KUIENZI LUGHA YETU Kiswahili ni Lugha yetu adhimu watanzania ni lazima tuipende na kuienzi kwa kuitumia katika shughuli zetu za kila siku pasi na shaka yoyote kwani ni lugha yetu ya taifa na pia ni lugha rasmi. Onesha utaifa na uzalendo kwa kutumia kiswahili.